Saturday, May 14, 2011

Miss Dar City Center Apatikana...


Miss Dar City Center
Miss Dar City Centre 2011/12 Alexia William (katikati), akipunga mkono muda mfupi baada ya kuvishwa taji hilo, (kushoto), ni mshindi namba mbili Salah Israel na mshindi namba tatu, Jennifer Kakolaki.
Tip Top wakifanya makamuzi Ndani Ya Miss Dar City Center.
KINYANG’ANYIRO cha kumsaka Mlimbwende wa Kitongoji cha Miss Dar City Centre 2011/12, jana kilifikia tamati ndani ya Ukumbi wa Lamada Hoteli Ilala jijini Dar es Salaam, baada  ya Alexia William, kutwaa taji hilo akiwapiga chini washiriki 17 waliokuwa wakiwania taji hilo.

Huku nafasi ya pili ikichukuliwa na Salah Israel na ya tatu ikitua kwa Jennifer  Kakolaki, mgeni rasmi katika shughuli hiyo alikuwa Msitahiki Meya wa Ilala, Jerry Slaa.
weweeeee Hayo ndio Makamuzi Ya Miss Dar..
                            

No comments:

Post a Comment