Thursday, June 2, 2011

Shaquille O'Neal atangaza kustaafu NBA baada ya miaka 19.


BAADA ya miaka 19 ndani ya NBA, Shaquille O'Neal (pichani) mwenye umri wa miaka 39, ametangaza rasmi kustaafu mchezo wa Kikapu
Shaq amefikia uamuzi huo baada ya kukaa sana benchi la timu ya Boston Celtics kutokana na majeruhi ya mguu.

Shaq anasema ... "Tumekuwa pamoja kwa miaka 19. Napenda kuwashukuru sana, na ndiyo maana nimeamua kuwaambieni kuwa nakaribia kustaafu. Asante, nitawataarifu zadi hivi karibuni."

No comments:

Post a Comment