Thursday, August 4, 2011

HAPPY BIRTHDAY RAIS BARACK OBAMA...

Rais Barack Hussein Obama.

RAIS wa 44 wa Marekani ambaye pia ni Mmarekani Mweusi wa kwanza kuwa rais katika taifa hilo,  Barack Hussein Obama, leo ametimiza umri wa miaka 50 ya kuzaliwa. Obama alizaliwa Agosti 4, 1961 huko Honolulu, Hawaii nchini Marekani. Ni baba wa watoto wawili Maria na Shasa. Mkewe ni Michelle LaVaughn Robinson Obama.