Aron^s World Entertainment

widget

Saturday, September 10, 2011

my deepest sympathy to the families that lost loved ones' in the zanzibar accident.be strong.


Meli hiyo inasemekana ilikuwa na abiria wapatao 610 ambapo juhudi za kuokoa majeruhi wa ajali hiyo zinaendelea hivi sasa.
Akizungumzia ajali hiyo, Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu, Issa Haji Ussi amesema tukio hilo limetokea saa 8:30 za usiku.
Haji Ussi amesema meli hiyo iliondoka katika Bandari ya Malindi Unguja ikiwa katika hali ya uzima, lakini katikati ya safari ikapata hitilafu na kusababisha kubinuka na hatimaye kuzama kabisa.
Hadi sasa haijaweza kufahamika idadi kamili ya watu waliofariki, lakini vyombo vya uokozi vimefika katika eneo la tukio kutoa msaada.
Naibu Waziri Issa amesema Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya usafiri vya binafsi kama boti ziendazo kasi vimekwenda eneo la tukio kutoa msaada. Jeshi la Polisi Tanzania limetuma Helikopta yake kwenye eneo la tukio.
Awali, amesema Mamlaka zinazohusika zilipata taarifa za kuzama kwa meli hiyo baada ya Meli ya Mv Jitihada inayomilikiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuripoti kuzama kwa meli ya Spice Islanders ambayo ililazimika kukatisha safari yake kuelekea Kisiwani Pemba na kwenda kwenye tukio. Serikali imesema taarifa zaidi zitakuwa zikitolewa na wananchi wameombwa kuwa watulivu..
Posted by Aron*s World at 2:50 AM

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

My photo
Aron*s World
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Nchini sweden.Elimu yangu ya msingi nilipatia katika shule ya msingi bunge Dar es salaam na kufikia elimu yangu ya sekondari nchini Uganda na elimu yangu ya chuo hapa nchini sweden.kwa mawasiliano zaidi unaweza nipata hapa aronswilly@gmail.com
View my complete profile

Popular Posts

  • Libya's ex-leader Col Muammar Gaddafi has been killed after an assault on his home town of Sirte.
    Information Minister Mahmoud Shammam said fighters had told him they had seen Col Gaddafi's body,and other officials also said he was ...
  • Uzinduzi wa Miriam lukindo...
    UZINDUZI wa albamu ya video ya ‘Ni Asubuhi’ ya mwanamuziki nyota wa Injili, Miriam Lukindo, akishirikiana na Haak Neel Production, ulio...
  • Lift Me Higher
  • Shaquille O'Neal atangaza kustaafu NBA baada ya miaka 19.
    BAADA ya miaka 19 ndani ya NBA, Shaquille O'Neal (pichani) mwenye umri wa miaka 39, ametangaza rasmi kustaafu mchezo wa Kikapu Shaq am...
  • Happy Easter 2011!!!
  • Andres Iniesta..
    If punished by Uefa on Wednesday, he would miss the semi-final, first leg against Real Madrid on 27 April. The 26-year-old Spain midfielder ...
  • Peter Msechu Ndani ya Big Brother Africa...
    DALILI za nyota mwenye sauti ya dhahabu katika Muziki wa Kizazi Kipya, Peter Msechu kutinga ndani ya Shindano la Big Brother Africa zipo ...
  • Nigeria's Olubayo Adefemi dies in Greece car accident....
    Nigeria international defender Olubayo Adefemi has died in a car accident, Greek police said on Monday. The 25-year-old, who played for Sk...
  • Miss Dar City Center Apatikana...
    Miss Dar City Center Miss Dar City Centre 2011/12 Alexia William (katikati), akipunga mkono muda mfupi baada ya kuvishwa taji hilo, (kus...
  • The Death of Osama Bin Laden..
    habari  Kikosi Maalum Cha  WaMarekani kimeendesha opereshani maalum iliyopelekea kuuliwa kwa Osama Bin Laden nchini Pakistani usiku wa ku...

My Slideshow

Blog Archive

  • ▼  2011 (48)
    • ►  October (1)
    • ▼  September (1)
      • my deepest sympathy to the families that lost love...
    • ►  August (2)
    • ►  July (4)
    • ►  June (8)
    • ►  May (7)
    • ►  April (25)

My Blog List

  • THE BEST OF U FASHIONS
    13 years ago

Followers

My Visitors count

Follow this blog

wibiya widget

Weather

bloguez.com
world music player

mp3 download
Aron and Company Ltd. Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.