Saturday, April 9, 2011

Bomu laua 8 Nchini Nigeria...

 Bomu limelipuka katika ofisi za uchaguzi nchini Nigeria ijumaa na kuua watu wapatao 8.Msemaji wa National emergency management agency MR.Yushau Shuaib amesema kwamba watu saba wameumia vibaya na kukimbizwa Hospital.

Watu wa kitengo cha Haki za Binadamu mpaka hivi sasa wameishauwawa watu 85 kutokana na vuguvugu za uchaguzi huo,uchaguzi huo uliopangwa kufanyika jumamosi hii ya tarehe 9 umehairishwa mpaka tarehe 26 april.

Tunawatakia uchaguzi mwema na wa Haki....


An official of the independent Nigerian electoral commission carries ballot boxes on April 2.

No comments:

Post a Comment